News, Info & Updates

Mkataba mpya REA na Silopower Limited.

Mkataba mpya REA na Silopower. Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (Rea), Hassan Saidy akimkabidhi mkataba Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Silo Power Ltd, Mmbalo Msuya (kulia), wakati wa hafla ya utiaji saini kwa makandarasi kwa ajili ya kuwaongezea muda ili kukamilisha mradi wa Rea wa tatu wenye thamani ya Sh 1.5 trilioni ulioanza […]
Read More
X